Na WAF - Manyara Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mh. Queen Sendiga, ametoa wito kwa wananchi wa mkoani hapa na watanzania kwa ujumla kujenga mazoea ya kuchangia damu ili kuwasaidia watu wenye uh... Soma zaidi
Habari
Wananchi waishio mkoa wa Manyara katika Kata ya Katesh –Hanang’ na Kata ya Gallapo – Babati wamejitokeza kwa wingi katika kliniki tembezi ya uchunguzi na matibabu ya macho iliyofanyika Juni ... Soma zaidi
Pichani ni Wanafunzi na Walimu wa Shule tano (5) za sekondari zilizopo H/Mji wa Babati mkoani Manyara pamoja na Afisa Afya Mazingira wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara Bi. Magdalena Ml... Soma zaidi
Wadau mbalimbali wa Kuthibiti na Kushughulikia Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia likiwemo Dawati la Jinsia mkoa wa Manyara lililopo Wilayani Babati pamoja na Afisa Maendeleo na Afisa Ustawi wa... Soma zaidi
Katika kuelekea Siku ya Mchangia Damu kitaifa Mkoani Manyara Juni 14 mwaka huu, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wakishirikiana na Manyara House of Talent wameendesha zoezi la ukusanyaj... Soma zaidi
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wamepita kwenye wodi za wazazi na watoto, kwa nia ya kuwapatia zawadi mbalimbali ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Wauguzi Duniani inayofan... Soma zaidi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na KCCO kwa msaada wa Watu wa Australia, kupitia Idara ya Macho wametoa elimu, uchunguzi kwa watu wenye mahitaji maalumu waishio ... Soma zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Queen Cuthbert Sendiga ametoa wito kwa Wananchi wa Mkoa wa Manyara kufikisha matatizo ya vitendo vya ukatili kwenye Kituo Jumuishi cha Ukatili wa Kijinsia “One St... Soma zaidi
Katika mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira kwa mwaka 2023 yaliyoshindanisha Hospitali za Rufaa za Mikoa 28 na Hospitali binafsi nchi nzima, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara ilishik... Soma zaidi
Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakunga na wataalamu wengine wa afya nchini kufanya kazi kwa weledi na kuongeza bidii katika kutoa huduma kwa wananchi wanaowahudu... Soma zaidi