Na WAF - Mwanza Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/wale... Soma zaidi
Habari
Timu ya Uendeshaji wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara (HMT) imefanya kikao kazi kilichohudhuriwa na Wadau wa Afya Mkoani hapa ikiwemo EGPAF- USAID Afya Yangu, KCCO, MATI Super brand... Soma zaidi
Katika muendelezo wa kuwasogezea huduma za matibabu karibu wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara inaendesha kambi ya Madaktari Bingwa kutoka Hospitali za Mikoa na Kanda kwaajili ya... Soma zaidi
Leo tarehe 22.03.2024 kimefanyika kikao cha uzinduzi wa Baraza la wafanyakazi katika Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Kikao hicho kimehudhuliwa na Mganga Mfawidhi Dkt. Katherine Thomas ... Soma zaidi
Katika muendelezo wa kuimarisha utoaji huduma za afya kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kupitia Idara ya Upasuaji na Kitengo cha Ustawi wa Jamii wamepiga kambi Kijiji cha K... Soma zaidi
Katika kuhitimisha wiki ya Afya ya Kinywa na Meno leo tarehe 20 Machi jumla ya shule za msingi sita (6) na kituo kimoja (1) cha kulelea watoto yatima Wilayani Babati wamefikiwa na Wataalam w... Soma zaidi
Kikao cha watumishi kimefanyika leo na kuhudhuriwa na viongozi, watumishi na wageni kutoka chama cha wafanyakazi TUGHE wa mkoa wa Manyara Kikao kiliambata na utoaji wa elimu kwa watumishi... Soma zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga akiambatana na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa, Alitembelea Hopitalini hapa kwa lengo la kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto. Majeruhi ... Soma zaidi
Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bi. Maryam Ahmed Muhaji akiwa na Mganga Mkuu wa mkoa Dkt. Damas Kayera wamefika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Manyara kuangalia maendeleo ya afya za majeruhi... Soma zaidi
Leo 29. 12. 2023 Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu katika ziara yake Mkoa wa Manyara ametembelea Hospital ya rufaa Mkoa wa Manyara akiambatana na Mganga Mkuu wa Mkoa Dokta Damasi ... Soma zaidi