Katika kampeni ya kidunia ya siku 16 kupinga ukatili wa kijinsia wenye kauli mbiu isemayo “KILA UHAI UNA THAMANI TOKOMEZA MAUAJI NA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO” ... Soma zaidi
Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ametembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi na utoaji huduma za afya. ... Soma zaidi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Manyara imetembelewa na wanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari Bagara, ambao wanatarajia kufanya mitihani ya kitaifa tarehe 14/11/2022. ... Soma zaidi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara imeazimisha siku ya wafamasia duniani kwa kutoa elimu kwa jamii ya matumizi sahihi ya dawa. Timu ya wafamasia kutoka hospitali ya mkoa, wakiwemo:... Soma zaidi
Timu ya wawakilishi kutoka hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara imetembelea kambi za Sabato zilizofanyika mkoani Manyara tarehe 4-9 Septemba, 2022 kwa lengo la kuhabarisha umma juu ya Huduma z... Soma zaidi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kupitia idara za kinywa na meno, na fiziotherapi ilitoa elimu kwa watumishi wa NSSF Manyara. Zoezi hilo pia liliambatana na kueleza huduma mbalimbali zi... Soma zaidi
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewatia moyo watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kwa kuwataka kufanya kazi kwa kutumia kanzi data ili kuleta ufanisi katika u... Soma zaidi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Wauguzi ni miongoni mwa wataalamu wa Afya wanaopaswa kuheshimiwa na kupewa thamani inayostahili... Soma zaidi
Mkoa wa Manyara umeanzisha mpango wa dharura wa kuhakikisha wananchi wanajikinga na homa inayosababishwa na virusi vya Corona, kwa kuwapatia uwezo timu ya wataalamu wa afya mkoa na wilaya il... Soma zaidi
Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara imeadhimisha kikao cha watumishi wote tarehe 3, Februari, 2020 ambacho kiliongozwa na Bi. Mary Ntira Afisa Utumishi Mkuu kutoka Wizarani na Uongozi wa Hosp... Soma zaidi