Katika kilele cha Siku ya Uoni Duniani leo tarehe 10/10/2024, Wakazi waishio Mji wa Babati wamejitokeza kupima na kupata matibabu ya macho, ambapo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kwa k... Soma zaidi
Habari
Watumishi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wameshiriki katika Timu ya Utumishi Sports Club, ambayo ipo chini Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika... Soma zaidi
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mh. Felister Mdemu ametoa wito kwa dawati la kijinsia mkoani Manyara kuongeza nguvu na kushirikiana kati... Soma zaidi
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara Dkt. Katherine Magali amefungua mafunzo ya tiba na upimaji kwa Wahudumu wa Afya kutoka hospitali na vituo vya afya vilivyopo mkoani M... Soma zaidi
1 Septemba, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Queen Sendiga alifika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya Coaster ambao ni wanafunzi wa Shule y... Soma zaidi
1 Septemba, 2024 Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wameungana mapema leo Septemba 1, 2024 na Taasisi mbalimbali pamoja na wakazi wa Mji wa Babati kushiriki... Soma zaidi
Siku ya leo Jumamosi tarehe 24 Agosti 2024, Walimu na Wanafunzi kutoka shule ya msingi Mutuka iliyopo Halmashauri ya Mji wa Babati, walifika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Manyara il... Soma zaidi
Kutokana na ugonjwa wa homa ya nyani uliotambulika kama MPOX na kuonekana kuwa na visa vingi maeneo mbalimbali duniani ikiwemo na bara la Afrika kwenye ukanda wa Afrika Mashariki, nchi ya Ke... Soma zaidi
Katika Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani, Bi Josephine Mosha (Afisa Muuguzi Msaidizi) na Bw. Reginald Dinya (Afisa lishe) watumishi wa hapa hospitalini wameendelea kuelimi... Soma zaidi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara imepokea msaada wa mashuka 79 kutoka kwa Vyama vya ushirika mkoa wa Manyara siku ya leo tarehe 21/06/2024. Akizungumza wakati wa kupokea msaada huo M... Soma zaidi