Mafunzo ya usomaji na utumaji wa vipimo vya wagonjwa kwa ajili ya kufanyiwa kipimo cha CT Scan, yametolewa leo hospitalini hapa kwa madaktari na Dkt. Fides Canuty ambaye ni Mtaalamu... Soma zaidi
Habari
Msisitizo umetolewa na Watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Bw. Ahmed Mtele na Bi. Queenter Mawinda wakati walipokuwa wakitoa elimu ya matumizi ya mifumo na barua pepe za serikali, kwa W... Soma zaidi
Leo ni Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambapo watumishi wa hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara wameungana na watumishi wa taasisi nyingine kuadhimisha siku hii iliyofanyika kimkoa Wilaya ya Baba... Soma zaidi
Wizara ya Afya inaendelea kuikinga jamii ya Watanzania dhidi ya magonjwa yanayozuilika kwa Chanjo ambayo ni Kifua kikuu, Donda Koo, Kifaduro, Polio, Surua, Rubella, Pepo punda, Homa ya ini, ... Soma zaidi
Timu ya wataalamu wa madawa (wafamasia) na mtaalamu wa maabara kutoka hospitali ya Rufaa mkoa wa Manyara wakiongozwa na Bi. Catherine Shirima, wametoa elimu ya usugu wa dawa na ... Soma zaidi
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Watumishi wa Sekta ya afya Mkoa wa Manyara kushirikiana katika kutoa huduma za afya kwa wananchi ili kuendana na uwekezaji... Soma zaidi
Kikao cha bodi ya ushauri robo ya pili 2022/2023, kilikuwa na agenda muhimu za Utekelezaji wa robo ya pili ya 2022/2023 ,Taarifa ya maendeleo ya ujenzi na wasilisho la elimu ya Bima... Soma zaidi
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mh. Charels Makongoro Nyerere akizindua kampeni ya upandaji miti 5,000 katika eneo linalozunguka ziwa Babati, inayoratibiwa na wadau wa mazingira ikiwemo Mati Superbr... Soma zaidi
Katika muendelezo wa utoaji ripoti za siku (Morning Reports) Idara ya Dharura iliendesha mafunzo mafupi juu ya Huduma za Dharura kuhusu ufufuaji wa mishipa ya moyo kwa kitaalamu... Soma zaidi
KAMPUNI YA MATI SUPERBRANDS YAKABIDHI ZAWADI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA MANYARA Katika kuadhimisha miaka mitano tangu kuanzishwa kwa @matisuperbrands , Uongozi na wafanyakazi wa kampuni h... Soma zaidi