Barua Pepe | Facebook | Instagram | Twitter |

Department


Idara

Kitengo/Vitengo

1

Idara ya wagonjwa wa Nje Majeruhi
Kliniki ya Magonjwa ya Ndani
Kliniki ya Upasuaji
Uboreshaji wa Afya ya Mama na Mtoto
CTC (Inc. VCT, PMTCT etc.)

Kifua Kikuu na Ukoma

Kliniki ya Kinywa na Meno
Kliniki ya Macho

2

Idara ya Upasuaji Chumba cha Upasuaji mkubwa
Chumba cha Upasuaji mdogo

3

Idara ya Wagonjwa wa Ndani Wodi ya Wanaume
Wodi ya Wanawake
Chumba cha Wagonjwa Mahututi

4

Idara ya Watoto Wodi ya watoto

5

Idara ya Wanawake Chumba cha Kujifungulia
Chumba cha Wajawazito
Chumba cha Waliojifungua

Chumba cha Watoto Wachanga

Wodi ya Wazazi

6

Idara ya Ukarabatiji

Tiba ya Mwili

Tiba kwa Vitendo

8

Idara ya Dawa

Dispensing

Stoo ya Dawa

Maabara maalum ya TFDA

9

Idara ya Mionzi(Radilojia)

Ultra sound

X-Ray

10

Maabara

Clinical laboratory

Usalama wa Damu

Mochuari

11

Utawala

TEHAMA

Masijala ya Watumishi
Fedha na Uhasibu
Ugavi na Manunuzi
Rasilimali Watu

13

Idara ya Usafi wa Nguo


14

Idara ya Matunzo na Uchomaji Taka Nyumba ya Kuchomea Taka

Placenta-pit

15

Idara ya Mazingira