Kliniki ya Wanawake na Afya ya Uzazi
HUDUMA ZITOLEWAZO
- Uchunguzi na matibabu ya changamoto za uzazi (infertility)
- Upasuaji wa magonjwa mbalimbali katika mfumo wa uzazi wa wanawake
- Huduma za uzazi wa mpango na uchunguzi wa saratani
- Uchunguzi na matibabu ya maambukizi ya magonjwa kwenye mfumo wa uzazi