Wauguzi kutoka idara zilizopo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wamehitimu mafunzo ya dharura (Emergence) yaliyoanza tarehe 29 Aprili 2024 na kuhitimishwa leo tarehe 2 Mei 2024. Akizu... Soma zaidi
Habari
Maazimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi yamefanyika leo tarehe 29 Aprili 2024 mkoani Manyara katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa ambapo Wafanyakazi wa Taasisi na Mashirika mbalimbali wames... Soma zaidi
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameziasa Kamati za Ulinzi na Usalama nchini kuona umuhimu wakuifanya ajenda yakutokomeza Malaria iwe yakudumu kwenye vikao vya maamuzi. Dkt. Mollel... Soma zaidi
Na WAF - Mwanza Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/wale... Soma zaidi
Timu ya Uendeshaji wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara (HMT) imefanya kikao kazi kilichohudhuriwa na Wadau wa Afya Mkoani hapa ikiwemo EGPAF- USAID Afya Yangu, KCCO, MATI Super brand... Soma zaidi
Katika muendelezo wa kuwasogezea huduma za matibabu karibu wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara inaendesha kambi ya Madaktari Bingwa kutoka Hospitali za Mikoa na Kanda kwaajili ya... Soma zaidi
Leo tarehe 22.03.2024 kimefanyika kikao cha uzinduzi wa Baraza la wafanyakazi katika Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Kikao hicho kimehudhuliwa na Mganga Mfawidhi Dkt. Katherine Thomas ... Soma zaidi
Katika muendelezo wa kuimarisha utoaji huduma za afya kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kupitia Idara ya Upasuaji na Kitengo cha Ustawi wa Jamii wamepiga kambi Kijiji cha K... Soma zaidi
Katika kuhitimisha wiki ya Afya ya Kinywa na Meno leo tarehe 20 Machi jumla ya shule za msingi sita (6) na kituo kimoja (1) cha kulelea watoto yatima Wilayani Babati wamefikiwa na Wataalam w... Soma zaidi
Kikao cha watumishi kimefanyika leo na kuhudhuriwa na viongozi, watumishi na wageni kutoka chama cha wafanyakazi TUGHE wa mkoa wa Manyara Kikao kiliambata na utoaji wa elimu kwa watumishi... Soma zaidi