Huduma ya Tathmini ya Afya
- Hospitali yetu inatoa huduma za tathmini ya afya kwa wagonjwa wote. Wagonjwa hupewa habari ya elimu ya afya kupitia Idara ya Wagonjwa wa Nje na kuchunguzwa vizuri kisha kupatiwa matibabu, kuhakikisha tatizo la afya linagunduliwa mapema.