Kitengo cha Afya ya Akili ambacho kipo ndani ya Idara ya Magonjwa ya Ndani kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, kimefika leo Chuo cha Veta Manyara kuelimisha wanafunzi kuhusu afya y... Soma zaidi
Habari
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dkt. Andrew Method ameshiriki kikao cha Watumishi cha Robo ya kwanza ya mwaka 2024/2025 kilichofanyika hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara siku ya jana ... Soma zaidi
Kamati ya kudumu ya Bunge ya afya na masuala ya UKIMWI imetembelea hospitali ya rufaa ya mkoa wa Manyara kwa lengo la kukagua huduma za afya hasa kwenye kituo cha tiba na matunzo kwa w... Soma zaidi
Katika kilele cha Siku ya Uoni Duniani leo tarehe 10/10/2024, Wakazi waishio Mji wa Babati wamejitokeza kupima na kupata matibabu ya macho, ambapo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kwa k... Soma zaidi
Watumishi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wameshiriki katika Timu ya Utumishi Sports Club, ambayo ipo chini Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika... Soma zaidi
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mh. Felister Mdemu ametoa wito kwa dawati la kijinsia mkoani Manyara kuongeza nguvu na kushirikiana kati... Soma zaidi
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara Dkt. Katherine Magali amefungua mafunzo ya tiba na upimaji kwa Wahudumu wa Afya kutoka hospitali na vituo vya afya vilivyopo mkoani M... Soma zaidi
1 Septemba, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Queen Sendiga alifika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya Coaster ambao ni wanafunzi wa Shule y... Soma zaidi
1 Septemba, 2024 Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wameungana mapema leo Septemba 1, 2024 na Taasisi mbalimbali pamoja na wakazi wa Mji wa Babati kushiriki... Soma zaidi
Siku ya leo Jumamosi tarehe 24 Agosti 2024, Walimu na Wanafunzi kutoka shule ya msingi Mutuka iliyopo Halmashauri ya Mji wa Babati, walifika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Manyara il... Soma zaidi