Barua Pepe | Facebook | Instagram | Twitter |

TRA MKOA WA MANYARA YATOA MSAADA KWA WATOTO NJITI

Posted on: February 15th, 2025

Mamlaka ya mapato Tanzania TRA mkoa wa Manyara katika kuadhiminisha kilele cha wiki ya mlipa kodi, imetembelea wodi ya watoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara na kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwaajili ya watoto waliozaliwa kabla ya muda (njiti) huku lengo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita chini ya Uongozi wa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.