Mapema leo watumishi wa Hospitalini hapa wamepewa mafunzo ya kuwasiliana na viziwi wakati wanapowahudumia. Akizungumza Bw. Daud Donald ambaye ni Afisa Ustawi wa Jamii hospitalini hapa ames...Soma zaidi

Karibu Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara! Hospitali yetu ina utamaduni wa kufanya kazi kwa ukaribu na wagonjwa ili kuhakikisha kuwa huduma bora za afya zinatolewa kila wakati. Wafanyikazi wetu wa hospitali wamefunzwa kikamilifu katika michakato ya hivi karibuni na kw...
Soma zaidiHUDUMA ZITOLEWAZO
Huduma hizi utolewa kila siku katika hospitali yetu.
Huduma zitolewazo kwa wagonjwa wa ndani ni kama ifuatavyo;
Huduma hii utolewa kila siku katika hospitali yetu.
Huduma zitolewazo kwa wagonjwa wa ndani ni kama ifuatavyo;
Mapema leo watumishi wa Hospitalini hapa wamepewa mafunzo ya kuwasiliana na viziwi wakati wanapowahudumia. Akizungumza Bw. Daud Donald ambaye ni Afisa Ustawi wa Jamii hospitalini hapa ames...Soma zaidi
Kujikinga na kujilinda dhidi ya magonjwa ni muhimu kwa ajili ya afya zetu. Zipo njia mbalimbali za kujikinga zidi ya magonjwa kwa njia ya maji, chakula, wanyama, wadudu na watu.
MAJI
Lishe bora maana yake ni kula chakula cha kutosha na chakula chenye virutubisho vyote muhimu. Lishe bora husaidia mwili kukua vyema, kuujenga mwili lakini pia huimarisha kinga ya mwili ili kuweza kupigana na magonjwa. Ili lishe iwe bora ni muhimu iwe na...
Kulingana na Umoja wa Mataifa, virusi vya Marburg, ambavyo ni sawa na virusi hatari vya Ebola, viligunduliwa kwa mara ya kwanza baada ya watu 31 kuambukizwa, saba kati yao walikufa, mnamo 1967 huko Marburg na Frank...