Namuonaje Daktari ?
Angalia ratiba ya kliniki na huduma za kibingwa husika katika tovuti yetu na kisha fika hospitalini kama ilivyotolewa maelekezo kwenye ratiba.
Pia unaweza kupiga namba +255 (0) 737 959 943 inayopatikana masaa 24/7 endapo utakuwa na maulizo yeyote. Karibu Hospitali ya Rufaa
ya Mkoa wa Manyara kwa huduma.