Radiolojia
Posted on: December 18th, 2024Pichani ni Mtaalam wa radiolojia wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara.
Idara yetu radiolojia ya hospitali ina pima vipimo mbalimbali vya mionzi . Pia idara hii ina pokea wagonjwa kutoka hospitali nyingine ambao wameandikiwa
kupima vipimo kisha kurudisha majibu kwa daktari(muhimu kuzingatia kuja na cheti cha daktari kilichoeleza aina ya kipimo).