Maabara
Posted on: April 3rd, 2025
Pichani ni Wataalam wa maabara ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara.
Maabara yetu ya hospitali ina pima vipimo mbalimbali. Pia maabara yetu ina pokea wagonjwa kutoka hospitali nyingine ambao wameandikiwa
kupima vipimo kisha kurudisha majibu kwa daktari(muhimu kuzingatia kuja na cheti cha daktari kilichoeleza aina ya kipimo).