Mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Andrew Method, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wenye umri chini ya miaka 10 wanapata chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa wa Polio katika kamp... Soma zaidi
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Andrew Method, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wenye umri chini ya miaka 10 wanapata chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa wa Polio katika kamp... Soma zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, amewataka wananchi wa Mkoa wa Manyara na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kushiriki katika Mbio za Tanzanite Manyara M... Soma zaidi
Wanafunzi wa Chuo cha Maji Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Jumuiya ya Wanafunzi Wakristo Tanzania (CASFETA), wamefanya zoezi la kuchangia damu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara... Soma zaidi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, ameendelea kuweka msisitizo kwa wananchi kuendelea kujiunga na bima ya afya, akieleza kuwa ndiyo msingi endelevu wa kuhakikisha kila Mtanza... Soma zaidi
Serikali imewataka wananchi kuendelea kujitokeza kuchangia damu kwa hiari na mara kwa mara ili kuhakikisha upatikanaji wa damu salama na ya kutosha kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa wen... Soma zaidi
Katika maadhimisho ya Wiki ya Famasi Kitaifa, Idara ya Famasi ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara imepata nafasi ya kutembelea Gereza la Babati hii Leo Juni 13, 2026 kwa lengo la kutoa eli... Soma zaidi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara leo tarehe 12 Juni 2026 imefanya kikao cha watumishi wote kilicholenga kutoa taarifa mbalimbali kuhusu mwenendo wa hospitali, mafanikio yaliyopatikana p... Soma zaidi
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Mafunzo, Mh. Kenan Kihongosi, leo tarehe 02 Juni 2026, amefanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kwa lengo la kukagua ujenzi wa majengo ya Hu... Soma zaidi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara leo tarehe 17 Mei 2026, ikiwa ni kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Shinikizo la Juu la Damu Duniani, imeweka kambi maalum katika mnada maarufu wa Gendi ... Soma zaidi
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara wameadhimisha kilele cha Siku ya Wauguzi Duniani tarehe 16 Mei 2026 kupitia shughuli mbalimbali zilizoakisi mshikamano, weledi na kujitolea k... Soma zaidi