Katika maadhimisho ya Wiki ya Famasi Kitaifa, Idara ya Famasi ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara imepata nafasi ya kutembelea Gereza la Babati hii Leo Juni 13, 2026 kwa lengo la kutoa eli...Soma zaidi
Kliniki ya Wanawake na afya ya Uzazi
- Uchunguzi na matibabu ya changamoto za uzazi (infertility)
- Upasuaji wa magonjwa mbalimbali katika mfumo wa uzazi wa wanawake
- Huduma za uzazi wa mpango na uchunguzi wa saratani
- Uchunguzi na matibabu ya maamb...
RCH
- Hospitali yetu inalenga huduma za uboreshaji wa afya ya mama na mtoto, afya ya mama na mtoto ni vipao mbele muhimu katika Hospitali yetu ili kukabiliana na kuweza kupunguza vifo vya mama na mtoto.
- zipo huduma mbalimbali zitolewazo katika kiten...
Huduma hizi utolewa kila siku katika hospitali yetu.
Huduma zitolewazo kwa wagonjwa wa ndani ni kama ifuatavyo;
- Ustawi na uzuiaji, kama vile ushauri nasaha na mipango ya kupunguza uzito.
- Utambuzi, kama vile vipimo vya maabara na skizi za MRI. ...
Huduma hii utolewa kila siku katika hospitali yetu.
Huduma zitolewazo kwa wagonjwa wa ndani ni kama ifuatavyo;
- Utunzaji wa papo hapo
- Matibabu
- Huduma ya wagonjwa wa ndani hutolewa kwa utunzaji na matibabu kulingana na mahitaji ya wagonjw...
- No records found
Jumatatu - Ijumaa
- Kutoka 06:00 to 08:30
- Kutoka 13:30 to 15:00
- Kutoka 18:00 to 19:30
- Kliniki ya Wanawake na Afya ya Uzazi Kutoka 11:00 AM to 06:30 AM
- Kliniki ya Magonjwa ya Ndani (Figo, Moyo, Presha na Kisukari) Kutoka 11:00 AM to 06:30 AM
- Kliniki ya Upasuaji na Magonjwa ya Mifupa Kutoka 11:00 AM to 06:30 AM
- Kliniki ya Kinywa na Meno Kutoka 11:30 AM to 06:30 AM
- Kliniki ya Macho Kutoka 11:00 AM to 06:30 AM






Lishe bora maana yake ni kula chakula cha kutosha na chakula chenye virutubisho vyote muhimu. Lishe bora husaidia mwili kukua vyema, kuujenga mwili lakini pia huimarisha kinga ya mwili ili kuweza kupigana na magonjwa. Ili lishe iwe bora ni muhimu iwe na...



