Naibu Waziri wa Afya Mh. Dkt. Florence Samizi amefanya ziara mkoani Manyara leo tarehe 26 Novemba, 2025 na kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Akiwa katika ziara yake ametem...Soma zaidi

Karibu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara Hospitali yetu ina utamaduni wa kufanya kazi kwa ukaribu na wagonjwa ili kuhakikisha kuwa huduma bora za afya zinatolewa kila wakati. Wafanyakazi wetu wa hospitali wamefunzwa kikamilifu katika michakato ya hivi karibuni na ...
Soma zaidiHuduma hizi utolewa kila siku katika hospitali yetu.
Huduma zitolewazo kwa wagonjwa wa ndani ni kama ifuatavyo;
Huduma hii utolewa kila siku katika hospitali yetu.
Huduma zitolewazo kwa wagonjwa wa ndani ni kama ifuatavyo;

Naibu Waziri wa Afya Mh. Dkt. Florence Samizi amefanya ziara mkoani Manyara leo tarehe 26 Novemba, 2025 na kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Akiwa katika ziara yake ametem...Soma zaidi

Lishe bora maana yake ni kula chakula cha kutosha na chakula chenye virutubisho vyote muhimu. Lishe bora husaidia mwili kukua vyema, kuujenga mwili lakini pia huimarisha kinga ya mwili ili kuweza kupigana na magonjwa. Ili lishe iwe bora ni muhimu iwe na...

Magonjwa haya ni kama vile homa ya tumbo (typhoid), kipindupindu, amoeba na minyoo. Haya ni magonjwa yanayosumbua jamii zetu kwa kiwango kikubwa. Yanasababishwa na kunywa au kula chakula chenye vimelea vya magonjwa hayo.
NJIA YA KUSAMBAA KWA MAGONJ...
read moreKitaalam, ugonjwa huu wa ini husababishwa na virusi vya Hepatitis B(HBV)ambayo vinathiri mifumo wa utoaji wa sumu katika mwilini wa binadamu. Inaaminika kwamba robo tatu ya watu ulimwenguni wameathiriwa na vinyemelea vya homa ya ini na wengine milio...
read more