Radiolojia
Posted on: February 3rd, 2026
Pichani ni Mtaalam wa radiolojia wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara.
Idara yetu radiolojia ya hospitali ina pima vipimo mbalimbali vya mionzi . Pia idara hii ina pokea wagonjwa kutoka hospitali nyingine ambao wameandikiwa
kupima vipimo kisha kurudisha majibu kwa daktari(muhimu kuzingatia kuja na cheti cha daktari kilichoeleza aina ya kipimo).



