Mhe. Rais atembelea Hospitali ya Mkoa wa Manyara
Posted on: November 23rd, 2022Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ametembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi na utoaji huduma za afya.