KIKAO CHA BODI YA USHAURI YA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MANYARA
Posted on: February 2nd, 2023
Kikao cha bodi ya ushauri robo ya pili 2022/2023, kilikuwa na agenda muhimu za Utekelezaji wa robo ya pili ya 2022/2023 ,Taarifa ya maendeleo ya ujenzi na wasilisho la elimu ya Bima ya Afya kwa wote.
Sambamba na agenda hizi mjumbe wa bodi ambaye ni Muuguzi Mfawidhi - Josephine Mosha aliagwa rasmi (kwa kumaliza muda wake) kwenye bodi na kumkarisha Muuguzi Mfawidhi mpya Bw. Msafiri Sehaba.