Barua Pepe | Facebook | Instagram | Twitter |

Wodi ya Private na VIP

   HUDUMA ZINAZOTOLEWA WODI YA PRIVATE NA VIP

  1. Utunzaji wa papo hapo
  2. Matibabu
  3. Wahudumu wa afya (Wauguzi na Madaktari) wapo saa 24
  4. Muda wowote ndugu anaweza kumuona mgonjwa isipokuwa muda amabo madaktari wana muhudumia
  5. Sehemu ya kupumzikia ndugu wa wagonjwa
  6. Runinga(TV) iliyounganishwa na kisimbuzi kila chumba
  7. Wi-Fi ya BURE kwa watakaohitaji kutumia mtandao
  8. Mgonjwa atapatiwa chakula asubuhi, mchana na jioni BURE.

- 05 January 2023