Barua Pepe | Facebook | Instagram | Twitter |

Kliniki ya Madaktari Bingwa wa Moyo kutoka (JKCI)

Wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Rufaa Mkoa Manyara watafanya upimaji na matibabu ya moyo kwa wananchi wa Mkoa wa Manyara. Upimaji huo utaenda sambamba na maadhimisho ya Siku ya Shinikizo la Juu la Damu Duniani yatakayofanyika tarehe 17/05/2023. Huduma hii ni kuanzia tarehe 15 -19 Mei, 2023, muda ni kuanzia saa 02:00 asb -10:00 jioni.

- 15 May 2023