Barua Pepe | Facebook | Instagram | Twitter |

HUDUMA YA CT SCAN

Huduma ya CT SCAN sasa inapatikana Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kwa wananchi wote wa mkoa huu. 

Kwa wale wanaotumia bima za afya na malipo wanahudumiwa.

- 12 April 2023