Barua Pepe | Facebook | Instagram | Twitter |

Chanjo ya Homa ya Ini

Hospitali ya Rufaa mkoa wa Manyara inapenda kutoa taarifa kwa watu wote kuwa inatoa huduma ya chanjo za Homa ya Ini siku zote kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa, fika hospitalini upatiwe huduma stahiki na zinazoridhisha wakati wote.

- 06 July 2019